
Benki
Kuu inapenda kuchukua fursa hii kuueleza umma kuwa haijaweka
operesheni/shughuli za NBC chini yake. Benki hiyo inajiendesha yenyewe
kwa kufuata utaratibu wa Sheria za Makampuni, 2002, Sheria ya Mabenki na
Taasisi za Fedha 2006 na miongozo itolewayo na Benki Kuu kama zilivyo
benki zingine. Wateja wa NBC na Umma kwa ujumla wanashauriwa kuendelea
kufanya biashara na benki hii kama kawaida.
IMETOLEWA NA BENKI KUU YA TANZANIA11AUGUST 2012
No comments:
Post a Comment