Kikosi kamili
kilichowakilisha Tanzania kwenye michuano ya Olimpiki kikiwa na viongozi
wao kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar
es Salaam leo jioni mara baada ya kuwasili.
Mwakilishi wa Mchezo wa Ngumi Selemani Kidunda.
|
Wawakilishi wa Mchezo wa kuogelea Amal (mbele) Gadiale na Magdalena Moshi wakiwasili.
|
Rais
wa Kamati ya Olimpiki Filbert Bayim, akibadilishana mawazo na
Mkurugenzi wa Michezo nchini Leonard Tadeo ambae alifika kuwapokea
uwanjani hapo.
|
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT)Makore Mashaga akisalimiana
na baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki mara
baada ya kuwasili nchini.
source http://thisdaymag.blogspot.com
No comments:
Post a Comment