Pia kuhusu Dogo Janja kutoa Chorus za Tunda Man kwenye Nyimbo zake ,Tunda amesema jambo kama hilo linawezekana na tumeone wasanii wengi wakifanya hivyo.Beat za nyimbo zipo na sauti zake so ni kitu cha kufanya tu sio issue kubwa sababu huwezi ukasema nipo na TIPTOP Alafu unawatambulisha Watanashati.
Utalii : Kimbunga cha IPU Chatua Ngorongoro
-
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,hatimaye ujumbe wa mkutano wa 153 wa Umoja wa
Mabunge Duniani (IPU) umetembelea eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kushuhudia
maa...
43 minutes ago

No comments:
Post a Comment