Aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Ngumi Tanzania, Shaaban Mintanga, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kufikishwa akikabiliwa na mashitaka mawili ya kula njama za kusafirisha dawa za kulevya kutoka Tanzania kwenda Mauritius na kushiriki katika tukio hilo.
Mintanga na wenzake sita waliatuhumiwa kula njama na kusafiriha madawa ya kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya shilingi 120 Milioni kutoka Tanzania kwenda Mauritus ambako timu ya taifa ya ngumi za ridhaa ilikwenda kushiriki mashindano ya pili ya ubingwa wa Afrika.habari zaidi zitawajia hivi punde..
source Ikomba Tumaini
No comments:
Post a Comment