Rais
mstaafu wa awamu ya tatu Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Benjamini
William Mkapa akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za uzinduzi wa benki
ya DCB Commercial Bank kwa ajili ya uhamasishaji ununuzi hisani na haki
iliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo,
kulia mwenyekiti wa bodi ya benki hiyo Paul Rupia,kushoto mkuu wa mkoa
wa Dar es salaa Saidi Meck Sadik,
DKT. MWIGULU: WEZI WA FEDHA ZA UMMA WASIHAMISHWE, WAKAMATWE MARA MOJA
-
Na Janeth Raphael -MichuziTv Singida
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba,
ameagiza kuchukuliwa hatua kali za kisheri...
8 hours ago


No comments:
Post a Comment