Hizi
ndiyo hekaheka za lala salama za tamasha la Serengeti Fiesta 2012
linalotarajiwa kufanyika kesho kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni
jijini Dar es salaam ambapo Rick Ross “The Boss”mwanamuziki wa Hiphop
kutoka nchini Marekani anatarajiwa kuongoza wanamuziki wa muziki wa
Bongofleva wa nchini Tanzania kukonga nyoyo za mashabiki hao, hii ndiyo
hali halisi inavyoendelea katika maandalizi ya kuhakikisha tamasha hilo
linafana (Serengeti Fiesta 2012 Bhaaassss)
Ismani yapokea Sabasaba kwa shamrashamra, Mtatifikolo ahimiza amani
-
*Na Mwandishi Wetu*
IRINGA – Mbunge wa Jimbo la Ismani, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo, amezindua
rasmi maonesho na sherehe za Sabasaba zinazofanyika katika K...
6 hours ago





















No comments:
Post a Comment