Amir farid baada ya kuoneka akiwa na familia yake
ni kutoka huko zanzibar kwamba yule kiongozi
wa uamsho aliyekuwa amepotea amepatikana eneo lile lile alilopotelea na
amehojiwa amesema kwamba yupo salama na amesema kwamba alitekwa na
polisi na watu wa usalama na amesema kesho ataongea na vyombo vya
habari.
MIKOA 9 KUNUFAIKA MPANGO WA KUWAVUTIA VIJANA KATIKA KILIMO CHA KISASA.
-
Vijana katika mikoa tisa nchini wanatarajiwa kunufaika na Programu ya
Mifumo Himilivu ya Chakula inayotekelezwa na Wizara ya Kilimo kwa lengo la
kuongeza...
8 hours ago


No comments:
Post a Comment