Mkurugenzi Mkuu na Mtafiti Mkuu Kiongozi wa Taasisi ya Taifa cha Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Dkt. Mwele Ntuli Malecela akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ofisini kwake kufuatia kupewa Tuzo maalum ya kutambua mchango wa uongozi na kujituma katika mapambano dhidi ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele.
Tuzo hiyo imetolewa nchini MArekani na Chama cha Kimataifa cha Wakuu wa Taasisi za Huduma ya Jamii (IANPH).