Wafanyakazi
wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali wakirejea kutoka
Morogoro katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara
za Serikali ambapo waliibuka washindi katika mchezo wa mpira wa miguu.
Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh akinyanyua kombe
kuwapongeza Wachezaji wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali
waliotoka katika michuani ya SHIMIWI iliyofanyika mkoani Mororgoro na
kufanikiwa kuibuka washindi wa pili katika mchezo wa soka.
Pichani Juu na Chini ni Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali.
No comments:
Post a Comment