Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai
akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari bungeni mjini Dodoma,
Juu ya taarifa ya tuhuma za wajumbe wa kamati ya bunge ya nishati na
madini na baadhi ya wabunge walijihusisha na vitendo vya rushwa wakati
wa mjadala wa hotuba ya bajeti ya wizara ya nishati na madini ya mwaka
2012-13 kwamba itatolewa na spika kwenye mkutano wa Bunge la 9
unaotarajiwa kuanza octoba 30 -2012 mwaka huu. Picha na Edwin Mjwahuzi
WAZIRI NDUMBARO-PROGRAM YA MAMA SAMIA LEGAL AID NI MKOMBOZI KWA WANYONGE
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
WAZIRI wa Katiba na Sheria Mhe Dkt Damas Ndumbaro ameeleza kuwa katika
Mikoa 11 waliyopita katika Kampeni ya Mama Sami...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment