Meneja wa
NMB Kanda ya Kati Bi. Lilian Mwinula (wa pili kulia) akikabidhi vifaa
mbali mbali vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa ajili
ya Bonanza kwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Dodoma Prof. Idris Kikula mkoani
Dodoma. Akiangalia (kulia) ni Meneja NMB UDOM Bw. Alex Mpagama.
Magazetini Leo Januari 18, 2025; Sababu Vijana Kufanya Vurugu Msibani
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
2 hours ago

No comments:
Post a Comment