Timu ya prison ya Mbeya imepata ajali eneo la HaLe mkoani Tanga,wachezaji Issa Mwantika,Lugano Mwangama,Khalidi Fungabreki,Daudi Masungwe wamepoteza fahamu na kukimbizwa hospitali ya Tanga, Kiungo wa Prisons Diego Magai akiongea na blog hii kutoka eneo la tukio amesema chanzo cha ajali iyo ni baada gari aina ya COaSter kuacha njia na kupinduka baada kupigwa na mwanga mkali wa taa za gari walilokua wanapishana nalo usiku ,hadi saa tano na dk hamsini usiku majeruhi walikuwa wakikimbizwa hospitali teule ya Muheza
Magazetini Leo Januari 18, 2025; Sababu Vijana Kufanya Vurugu Msibani
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
33 minutes ago

No comments:
Post a Comment