Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya
Temeke Ms Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya
kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu. Sherehe za kuzima
mwenge zilifanyika mjini Shinyanga tarehe 14.10.2012

No comments:
Post a Comment