Taasisi
ya Lions Club ya jijini Dar es Salaam inaendesha zoezi la kukusanya
michango ya fedha kwa ajili ya kuwasaidia watoto wasio na uwezo wenye
matatizo ya moyo kupata matibabu. Unaweza kutoa mchango wako hata kwa
njia ya hundi kuiongezea nguvu Lions Club. Kwa maelezo zaidi tafadhali
wasiliana na Rais wa Lions Club Nimira Gangji kwa nambari +255715979966.
SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA MFUMO WA STAKABADHI ZA GHALA
-
*Afisa Tawala wa Wilaya ya Morogoro, Bi. Janeth Chatta,akizungumza wakati
akifunga mafunzo ya wasimamizi wa shughuli za ghala kwa msimu wa biashara
wa...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment