Habari za hivi Punde zinasema kwamba Basi la Dar Express likitokea Arusha kuelekea Dar na ambalo Limeteketea moto. ABIRIA WOTE wamenusurika wote HAKUNA ALIYE POTEZA MAISHA.
Basi
la Dar Express kutoka Arusha kwenda Dar linateketea kwa moto eneo la
Segera..abiria wote wamenusurika hakuna aliepoteza maisha..
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
Pole kwa wahanga wote.
ReplyDelete