Wachezaji
wa Kilimanajro Stars inayoiwakilisha Tanzania Bara wakiwa mazoezini
katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ikiwa ni maandalizi ya
mashindano ya Kombe la Tusker CECAFA Challenge yanayotarajiwa kuanza
Jijini Kampala, Uganda Jumamosi hii. Timu hii inadhaminiwa na Bia ya
Kilimanjaro Premium Lager.
HAKIKISHENI MABONDIA WANANUFAIKA NA VIPAJI VYAO-MAJALIWA
-
-Rais Dkt. Samia apiga simu, awataka mabondia Watanzania kuibeba bendera ya
Tanzania kwenye tukio hilo
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Uta...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment