Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 20, 2012

BREAKING NEWSS::::WALIOMUUA FUNDIKIRA WAHUKUMIWA KIFO TAZAMA PICHA ZA WALIOHUKUMIWA KIFO



                                              Marehemu Swetu Fundikira 

                                    Watuhumiwa waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya Fundikira.



WATUHUMIWA katika mauaji ya Swetu Fundikira,  MTM 1900 Sajenti Roda Robert (42) wa kikosi cha JKT - Mbweni na MT 75854 Koplo Ally Ngumbe (37) wa JWTZ-Kunduchi leo wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

chanzo:.globalpublishers.

No comments:

Post a Comment