Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, November 11, 2012

MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA MAKAO MAKUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM)NA HOTEL ZA HADHI YA NYOTA TANO ENEO LA MAKULU MJINI DODOMA



 Picha zinazoonyesha Michoro ya Ukumbi,Ofisi za Makao makuu na Hotel ya nyota tano.
 Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein akiwasili eneo la Makulu kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za makao makuu, Ukumbi wa Mikutano na Hotel ya Hadhi ya nyota tano muda mfupi ulipita.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Makao Makuu ya Chama,Ukumbi wa Mikutano na Hotel za Hadhi ya Nyota Tano katika eneo la Makulu Dodoma muda mfupi uliopita

No comments:

Post a Comment