skip to main |
skip to sidebar
NEY WA MITEGO BANA UTASKIA AAGH KUDADADEKII HAHA CHEKI HII;Baada ya Ney wa Mitego Kukataa Kuwa na Uhusiano na Nisha wa Bongo Movies Picha zao za Mahaba za Zagaa Mtandaoni
Mie Sisemi Kitu nimezikuta Picha hizi Mtandaoni Baada ya Ney wa Mitego
jana kusema kuwa hana uhusiano Na Nisha ,Sasa Sijui Zimevujaje ? Ney wa
Mitego ni mwanamuzi Ambae Siku za Karibuni Amepata umearufu kwa Kuwapa
Vidogo Wasichana wa Bongo Movies Kuwa ni Malaya Wenye Viwango ...Sasa
kumbe mwenyewe nae Anaponea Humu humu..Or Is It a Movie?.Wasemaje Kuhusu
Hili? tupia comments Zako hapo chini
No comments:
Post a Comment