Waziri
wa Fedha, Dk.William Mngimwa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa
Mawasiliano na Sheria wa TBL, Steve Kilindo, cheti cha kutambua ushindi
huo.
Makamu
wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo
ya mlipakodi bora wa kwanza katika sekta ya uzalishaji viwandani,
Mkurugenzi Mawasiliano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Steven Kilindo kwenye hafla ya sita ya Siku ya Mlipa Kodi, Dar es Salaam
Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais, Dk Bilali na viongozi wengine
Steve Kilindo akiondoka jukwaa kuu akiwa na tuzo za kampuni yake
Steve Kilindo akiwa pamoja na wadau wenzie
BARAZA LA TIBA ASILI NCHINI LAFUTA USAJILI WA DAWA HIZI KUINGIZWA SOKONI.
-
Na ABDU MADENGE, WAF - DODOMA
Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini limefuta usajili wa dawa ya
Powaful Banana Medicine, kupiga marufuku uingizwaji ...
30 minutes ago







No comments:
Post a Comment