Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 10, 2012

Ajali Yasababisha Msongamano Wa Magari Mlima Kitonga




Ajali yasababisha msongamano wa magari katika Mlima Kitonga barabara kuu ya Iringa- Mbeya baada ya lori kuanguka katika  eneo hilo. kutokana na ajali hiyo baadhi ya mabasi ya abiria  yanayokwenda Dar na kutoka mikoa ya kusini yalikwama kwa muda mchana  wa  leo hadi lori hilo  lilipovutwa  eneo hilo hakuna aliyepoteza maisha. Picha kwa hisani ya Francis Godwin

No comments:

Post a Comment