Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, December 9, 2012

KILIMANJARO STARS YAWASILI DAR TAZAMA PICHA HAPA





 
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ Kim Poulsen akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana pamoja na timu wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwasili  jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. 
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars ‘ wakiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam  jana mara baada ya kuwasili wakitokea nchini Uganda kushiriki michuano ya Cecafa Challenge iliyomalizika juzi. Kilimanjaro Stars inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

No comments:

Post a Comment