Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 4, 2012

NI KENYA NA ZANZIBAR NUSU FAINALI TUSKER CHALLENGE


Abdallah Juma wa Kenya, akimdhibiti Rodrick Gonani wa Malawi katika Robo Fainali ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, mjini Kampala, Uganda. Kenya ilishinda 1-0, bao pekee la Mike Barasa dakika ya 56 na sasa Harambee Stars itamenyana na Zanzibar katika Nusu Fainali keshokutwa.

Mike Barasa akipambana na beki wa Malawi
Mike Barasa akipambana na mabeki wa Malawi 

Kipa Duncan Ochieng akidaka chini ya mabeki wake

Gonani akipambana

Katibu wa CECAFA, Nicholas Musonye wakati anaangalia mechi ya Kenya na malawi

Kocha wa Uganda, Bobby Williamson akiangalia mechi ya Kenya na Malawi

Kocha wa Tanzania Bara, Kim Poulsen akizungumza na Kocha Msaidizi wa Zanzibar, Hafidh Muhiddin kulia

Kenya wakishangilia ushindi wao

No comments:

Post a Comment