Ndio,
hiki unachokiona kwenye picha hii kinaitwa gari, ambalo anatumia
mheshimiwa rais wa taifa korofi na lenye kupenda kujihisi mbabe wa
dunia, namaanisha Marekani. Hebu litizame kwa uzuri, soma na maelezo ya
kila kilichomo, kisha jiulize, kama hili linaitwa gari, hicho chombo
chako cha usafiri unachotumia kinastahili kuitwa gari kweli?
TRA ENDELEENI KUPAMBANA NA WAKWEPAKODI.: RAIS SAMIA
-
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha wanaendelea kupambana na watu
wana...
52 minutes ago
No comments:
Post a Comment