Sehemu
wa waombolezaji wa Msiba wa Msanii wa Filamu hapa nchini, Marehemu
Sadick Juma Kilowoko 'SAJUKI' wakibeba jeneza lenye mwili wake tayari
kuelekea katika ibada maalum kwa ajili ya kuswaliwa na baadaye kuelekea
mazikoni katika makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam, leo. Hapa ni
wakati wakiondoka nyumbani kwa marehemu Tabata Bima kuelekea katika
Msikiti waSheahk Adhir,
Kariakoo kwa ibada ya Kusalia Mwili na baada ya Swala ya Ijumaa, Mwili
utaelekea kwenye Makaburi ya Kisutu kwa taratibu za maziko.

Mwili ukipakiwa kwenye gari.

Waumini wakiomba dua kabla ya kuondoka na Mwili wa Marehemu kwenda mazikoni.

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Saimon Mwakifwamba (katikati) akimpokea Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe alipokuwa akiwasili msibani hapo.
![]() |
| Sehemu ya waombolezaji kina mama waliohudhuria shughuli hiyo ya msiba nyumbani kwa marehemu Tabata. |


Waombolezaji wakiwa Msibani mapema asubuhi ya leo.

![]() |
| Mvua nayo ilisumbua kidogo eneo hilo la msiba, kama wanavyoonekana waombolezaji wakijifunika tulubai kujikinga na mvua iliyoanza kudondoka ghafla. |


Pamoja na kwamba kulikuwa na Mvua kubwa lakini hakuna mwombolezaji hata mmoja aliyeondoka eneo hilo kabla ya kumalizika kwa shughuli hiyo hadi mwili ulipoondoka eneo hilo.

Mwili ukiondoka nyumbani, huku ukiongozwa na Pikipiki ya askari wa usalama Barabarani kuelekea msikitini na baadaye Makaburin



No comments:
Post a Comment