Waziri
Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao uliofanyika leo katika
ofisiza Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake
katika uandishi wa Katiba Mpya. Kuliani Mjumbewa Tume Bi. Maria
Kashonda.
WaziriMkuumstaafu,
Mhe. Edward Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassaa kizungumza na
wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao
uliofanyika leo katika ofisiza Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa
maoni na uzoefu wake katika uandishi wa Katiba Mpya. Katikati ni
Mwenyekiti waTume hiyo, Jaji Joseph Warioba na Mjumbe wa Tume, Dkt.
Salim Ahmed Salim.
Waziri
Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassaa kizungumza na wajumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao uliofanyika leo katika
ofisiza Tume jijini Dar es Salaam, ambapo alitoa maoni na uzoefu wake
katika uandishi wa Katiba Mpya. Wengine pichani ni Wajumbe waTume,
Waziri Mkuu mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim, Bi. Maria Kashonda na Dkt.
Sengondo Mvungi.
Mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk. Salim Ahmed Salim (kushoto)
akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu mstaafu, Mhe. Edward Lowassa
(katikati) nje ya ukumbiwa mikutano wa Tume hiyo, marabaada ya Mhe.
Lowassa kuwaslisha maoni na uzoefu wake kuhusu uandishi wa Katiba Mpya.
Kulia ni Mjumbe wa Tume, Bi. Maria Koashonda.
Katibu wa
Chama cha Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ambaye piani Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angelllah Kairuki
akiwalisha maoni ya Chama hicho kuhusu Katiba Mpya kwa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba wakati wa mkutano wao uliofanyikaleo katika ukumbi
wa Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Bw. Almas Maige akizungumza na
wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano bainayao
uliofanyika leo ambapo ATE iliwasilisha maoniyao kuhusu Katiba Mpya.
Mjumbewa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Omari Sheha Mussaa kizungumza na
ujumbe kutoka Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika mkutano bainayao
uliofanyika leo katika ofisi zaTume hiyo, Jijini Dar es Salaam, ambapo
ATE iliwasilisha maoniyao kuhusu Katiba Mpya.
No comments:
Post a Comment