Meneja
Masoko wa Kampuni ya Tanzania Hair Industry ltd James Walwa – Jimmy
akimkabidhi mbunifu wa mavazi nchini Ally Rehmtullah tiketi kwa ajili ya
kwenda kuiwakilisha Afrika Mashariki katika mkutano wa ‘The Economics
of the Africa Fashion Industry’ utakaofanyika nchini Marekani mwezi wa
Februari. Tanzania Hair Industry ltd ambao ndio watengenezaji wa nywele
maarufu aina ya Darling ndio wadhamini wa safari ya mbunifu huyu kwenye
mkutano huo wa kihistoria utakaofanyika katika Kikuu cha Havard nchini
Marekani.
Matukio : Watumishi wapya wa Ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa
-
Na Mwandishi wa OMH
Kibaha, Pwani. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), kwa kushirikiana na Chuo
cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), imeendesha mafunzo ya...
2 hours ago


No comments:
Post a Comment