Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 22, 2013

MTOTO AFARIKI KWA KUUNGUA NA MOTO NDANI YA NYUMBA



Mwili wa mtoto huyo ukichukuliwa na polisi kwenda kuhifadhiwa na kuchunguza chanzo cha moto huo
Nyumba hii ndimo alimoungulia mtoto huyo
Ndani ya nyumba ambayo mtoto aliungua na moto hadi kufa na mwonekano wa vitu vingine vilivyoungua ndani ya nyumba hiyo
Baadhi ya majirani wakiwa katika tukio hilo wengi wao wakiwa kwenye simanzi kubwa na wengine wakishangaa

Mtoto Halaika Bushiri (7) mwanafunzi wa shule ya msingi Mwanyanje iliyopo kata ya Igawilo jijini hapa amefariki dunia baada ya kuketea kwa moto akiwa nyumbani kwao jana majira ya saa 7:45 ya mchana, Januari 21 mwaka huu.

No comments:

Post a Comment