Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 22, 2013

VURUGU KUBWA MWANZA KATI YA POLICE na WAENDESHA BODA BODA



Vurugu kubwa Zimetokea mwanza  kati ya polisi na wenye boda boda, milio ya mabomu na risasi zilipigwa na kusikika  eneo la makongoro mission jijini mwanza..  Huduma za usafiri zilisimama barabara ya kuelekea Airport jijini Mwanza baada ya Polisi kutumia risasi za moto na za machozi kuwakabili waendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda kwa kukiuka sheria. Hivyo kutokana na mvutano  huo  jeshi la  polisi  limelazimika  kutumia risasi  za moto  kuwafukuza  waendesha boda  boda  hao ni kuna taarifa   kuwa baadhi yao  wamejeruhiwa vibaya katika  vurugu  hizo .

No comments:

Post a Comment