Waziri
wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa
Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitangaza maamuzi
yaliyofikiwa na Bodi ya Wakurugenzi juu ya shutuma mbalimbali za
Viongozi wa Bandari. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu – Wizara ya Uchukuzi ,
John Mngodo na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhandisi
Omar Chambo.
Kampeni ya Chanjo ya Polio Yalenga Kuwafikia Watoto 207,096 Jijini Dodoma
-
Na. Mwandishi wetu, DODOMA
Wizara ya Afya kupitia Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma,
imewataka wananchi wa Jiji la Dodoma kujitokeza na kuw...
21 hours ago

No comments:
Post a Comment