Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki wakati wa
mazishi ya msanii huyo leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es
salaam
Jeneza
lililobeba Mwili wa Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwasili
kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa
Mazishi yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh.
Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo
kwenye Kaburi la Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) yaliyofanyika
mchana huu kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment