Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 14, 2013

SIMBA MAZOEZINI NCHINI OMAN


 Kipa mpya wa Simba ambaye pia ni kipa namba moja wa timu ya taifa ya Uganda 'TheCranes'Abbel Dhaira akifanya mazoezi na timu yake leo katika Uwanja wa Oman Club, Muscat.
 Patrick Liewig (kushoto) na Moses Basena (kulia) wakisimamia mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi katika Uwanja wa Oman Club hapa Muscat.

 'Messi' akimtungua Dhaira wakati wa mazoezi leo nchini Oman.

No comments:

Post a Comment