Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 14, 2013

KAULI YA KWANZA YA DULLY, KUHUSU TUHUMA ZA BAUNSA WAKE KULAWITI




BAADA ya tuhuma chafu zinazomkabili baunsa wa msanii Dully Sykes , anayefahamika kamaArafat Ngumi Jiwe, za kumlawiti mtoto, sasa msanii huyo ameamua kuwambia mashabiki wake kuwa amesitishwa na ishu hiyo kwani alikuwa hajui kama jamaa ana tabia hiyo chafu hivyo anawasihi watanzania wote kujua kwamba hajui lolote juu ya hilo na kwa sasa hawezi kuendelea kufanya naye kazi ili kujitoa kwenye ishu hiyo chafu.

Tuhuma za baunsa huyo kumlawiti mtoto zinaweza kuwa na picha mbaya kwa msanii huyo kwani watu wamemfahamu bausa huyo kupitia Dully, hivi sasa anatafuta mtu mwingine ambaye anaweza kuchukua nafasi hiyo.

No comments:

Post a Comment