Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akimtoka mpira na beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. |
Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akikimbia na mpira dhidi ya beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. |
Mwaikimba akifumua shuti |
Mshambuliaji wa Azam FC, Seif Abdallah akimiliki mpira mbele ya beki wa Tusker FC, Bright Jeremiah katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. |
Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. |
Shuti la bao, Mwaikimba akiwa amefumua shuti kuifungia Azam bao la ushindi |
Wachezaji majeruhi wa Azam, John Bocco 'Adebayor' kushoto na Abdulhalim Humud 'Gaucho' kulia wakiingia uwanjani leo |
Mpira uko nyavuni, mkwaju wa Penalti wa Joackins Atudo umetinga kimiani kuipatia Azam bao la kusawazisha huku kipa Samuel Odhiambo akigagaa chini |
Hongera shujaa Mwaikimba, wachezaji wa Azam wakimpongeza mfungaji wa bao lao la ushindi |
Kikosi cha ubingwa leo |
Washindi wa pili Tusker FC kikosi chao cha leo |
Nahodha Himi Mao akiinua juu burungutu la fedha, Sh. Milioni 10 za ubingwa |
Mgeni
rasmi,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto)
akimkabidhi donge nono la Sh. 300,000 mfungaji bora wa Kombe la
Mapinduzi, Jesse Were wa Tusker FC aliyemaliza na mabao matano usiku
Uwanja
wa Amaan, Zanzibar.
|
Binti aliyevamia uwanjani dakika ya 89 akitolewa nje na askari Polisi |
Mgeni rasmi,
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi
Kombe la ushindi wa pili wa Mapinduzi, Nahodha wa Tusker FC, Joseph Shikokoti usiku Uwanja
wa Amaan, Zanzibar.
|
Polisi wakimtoa nje binti aliyevamia uwanjani dakika ya 89 |
Azam wakisherehekea na Kombe lao |
Mwaikimba akifuaria na mashabiki Kombe lililotokana na juhudi zake |
Azam wakisherehekea na Kombe lao |
Brian Umony wa Azam amemuacha chini Joseph Shikokoti wa Tusker FC |
Umony na Shikokoti |
Mwaikimba aliyeruka hewani kuiga kichwa kwenye lango la Tusker kufuatia mpira wa kona |
Mwaikimba mawindoni |
Mwaikimba mbele ya Shikokoti |
No comments:
Post a Comment