Kamati
ya Utendaji ya Simba imepitia na kuidhinisha majina ya wajumbe wa
kamati mbalimbali za klabu lengo likiwa kuiboresha klabu na pia
kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na michuano ya
kimataifa ambayo Simba inashiriki mwaka huu.
Mwenyekiti
wa Simba, Mhe, Ismail Aden Rage, anawapongeza wote walioteuliwa kwa
ajili ya kazi hii na kuwatakia mafanikio mema katika kuijenga klabu ili
iwe ya kisasa kama walivyo wajumbe wenyewe.
Uteuzi
huu wa wajumbe unaanza mara moja na wenyeviti wa kamati hizo wamepewa
nguvu ya kuitisha vikao vya kamati zao mapema iwezekanavyo.
Wajumbe ni
1. DAMIAN MANEMBE-MWENYEKITI
2. IBRAHIM MASOUD-MAKAMU MWENYEKITI
3. CRESCENCIUS MAGORI
4. KHALID ABEID
5. SAID TULLY
6. DR. KATEGILE
7. ZAMOYONI MOGELA
8. JOHN WILLIAM (DEL PIERO)
9. YUSUFU MACHO
10. JEFF LEA
11. BITA JOHN
12. SHABAAN BARAZA
KAMATI YA FEDHA
1. GEOFREY IRICK NYANGE (MWENYEKITI)
2. RAHMA AL KHALOOS-MAKAMU MWENYEKITI
3. FRANCIS WAYA
4. ZITTO KABWE
5. JUMA NKAMIA
6. RUGE MUTAHABA
KAMATI YA MASHINDANO
1. SWEDY MKWABI-MWENYEKITI
2. SAID PAMBA-MAKAMU MWENYEKITI
3. SELEMANI ZEDDY. (MB)
4. JERRY YAMBI
5. IDDI KAJUNA
6. CHAUREMBO
7. GERLAD LUKUMAY
8. HABBIB NASSA
9. BUNDALA KABULWA
10. CHARLES HAMKAH
11. SAID RUBEYA
12. ABDULFATAH SALUM (SAPHIRE)
13. HATIBU MWINYI (BUSTA)
14. ABDUL MSHANGAMA
15. HUMPHREY ZEBEDAYO
16. MAJALIWA MBASSA
17. SULEIMAN ZAKAZAKA
18. KESI MOHAMED RASHID
19. MOHAMED ISSA MBENA
KAMATI YA PROGRAMU ZA VIJANA
1. IBARHIM MASOUD –MWENYEKITI
2. RUGE MUTAHABA-MAKAMU MWENYEKITI
3. JOSEPH ITANG’ARE-MJUMBE/MLEZI
4. WILFRED KIDAU
5. MOHAMED ABDALLAH
6. SAID TULLY
7. CANISIUS MASOMBOLA
8. HAMIS MRISHO
9. DAMAS NDUMBARO
10. TALIB HILAL
source shaffih dauda
No comments:
Post a Comment