Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 18, 2013

Hili ndio Gari la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mushi muda mfupi baada ya kushambuliwa kwa Risasi na Kufariki jana asubuhi Zanzibar na watu wasiojulikana


 Picha juu ni gari alilokua akitumia Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mushi jana asubuhi likiwa limegonga ukuta muda mfupi baada ya watu wasiojuliakana kumshambulia Paroko Evarist Mushi kwa risasi na kufariki
  Gari alilokuwa amepanda Padri Evarist Mushi likiwa limetapakaa damu baada ya kupigwa risasi
 Wananchi mmbalimbali zanzibar waki eneo la tukio muda mfupi baada ya gari la  Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kugonga ukuta baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana jana asubuhi zanzibar na kufariki
 Sehemu ya Waumini wakiwa wenye majozi muda mfupi baada ya kupata habari za kifo cha Paroko wao wa  Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi  katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
 Padri Cosmo Shayo(Kulia)akizungumza na viomgozi wa kanisa kuhusiana na tukio la Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi  katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00
Picha juu na chini Sehemu ya waumini mbalimbali wakiwa nje ya viwanja vya hospitali ya mnazi mmoja leo asubuhi baada ya Paroko wa Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mush kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana leo asubuhi  katika gari lake wakati akienda kuendesha ibada ya saa 3.00.Picha  Adrew Chale na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar

No comments:

Post a Comment