Meja wa
jeshi la wanamaji la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But,
akimsikiliza mmoja wa askari wa jeshi la wanamaji Tanzania wakati
alipokuwa akimuliza swali kuhusiana na matumizi ya bunduki ya kisasa
wanayotumia katika kufanya ulinzi wa kupambana na uharamia katika bahari
ya hindi wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant
Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika
bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina
ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari
16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
Afisa
Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi Admiral Vdovenko
akiwaonyesha wanajeshi wa jeshi la maji la Tanzania moja ya bunduki ya
kisasa wanayotumia katika kupambana na uharamia unaofanywa na magaidi
katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa tanzania walipotembela
katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,
kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka
jana februari20 2013.
Wanajeshi
wa jeshi la wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki huku Luteni wa
jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff akiwapa
maelezo juu ya silaha hizo ambazo zinatumika katika kupambana na
uharamia baharini wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya
Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga
katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya
kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo
iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
Wanajeshi
wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi wakinyanyua moja ya bunduki wakati
walipokuwa wakitoa elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati
walipotembela katika meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es
Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la
Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka jana februari 20 2013.
Luteni
Kanali wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir
Mavlihanoff (kushoto)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji wa
Tanzania jinsi moja ya vifaa vya kivita wanavyotumia katika ulinzi wa
kupambana na waharamia wakati wanapofanya doria baharini. wakati
walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina
la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika bandari ya Dar es
Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la
Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na
imeondoka jana februari 20 2013.
Luteni wa
jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff (watatu
kutoka kulia)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji nchini jinsi
nchini yao inavyofanya ulinzi wa kupambana na waharamia kwa kutumia
helikopta wakati walipotembelea katika Meli ya kivita aina ya Ant
Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”, iliyotia nanga katika
bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina
ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari
16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
Mkuu wa
msafara wa meli ya kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL
SHAPOSHNIKOV”, Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu kwa wanajeshi wa
jeshi la Wanamaji la Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika
bahari ya hindi , wakati wanajeshi hao walipotembelea katika meli ya
kivita aina ya Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,
iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, kwa lengo la kufanya
ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli
hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20
2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi
Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni wa jeshi la Wanamaji kutoka
nchini Urusi Tagir Mavlihanoff.Picha zote na Mroki Mroki
No comments:
Post a Comment