Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 27, 2013

ADVANS BANK WAZINDUA TAWI JIPYA TEMEKE DAR



Mwakilishi wa Mbunge wa Temeke, Thabit Mussa akikata utepe wakati wa uzinduzi wa jengo la benki ya Advanc, Temeke jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Peter Moelders na kulia ni Kaimu Meneja wa benki hiyo, Boniface Mhali na diwani wa Temeke, Hamisi Msombo. (Picha na Habari Mseto Blog)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Advanc, Peter Moelders akisakata muziki wa asili na msanii wa kundi la Wanne Star, wakati wa uzinduzi wa benki hiyo, Temeke jijini Dar es Salaam.
Wasanii wa kundi la Wanne Star na kundi lake akitumbuiza wakati wa uzinduzi wa tawi la benki mpya ya Advanc, Temeke jijini Dar es Salam jana

No comments:

Post a Comment