Mkurugenzi
wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa
wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Askari wa mbwa wakiimarisha ulinzi wakati wa kesi hiyo.
Mkurugenzi
wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa
mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.
Mkurugenzi
wa Usalama na Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare akiwa na mtuhumiwa
mwenzake, Ludovick Joseph wakiingia mahakamani leo.
Polisi
wakisindikiza msafara wa gari lililompakia Mkurugenzi wa Usalama na
Ulinzi wa Chadema, Wilfred Lwakatare kuelekea mahabusu hadi April 3
mwaka huu.
Mkurugenzi
wa Usalama na Ulinzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),
Wilfred Lwakatare akionesha ishara ya vidole ambayo ni salamu kwa
wafuasi wa chama chake wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiteta jambo na mke wa Mkurugenzi wa Usalama na Ulinzi wa Chama hicho, Wilfred Lwakatare.
Jengo la Mahakama ya Kisutu.
Wafuasi wa Chadema wakiwa wamekusanyika nje ya mahakama hiyo.Picha Kwa Hisani ya Habari Mseto Blog
No comments:
Post a Comment