HATARII...UGONJWA UTOKANAO na KUWEKA
LAPTOP MAPAJANI MWAKO PINDI UTUMIAPO.Huu ndo ugonjwa utokanao na kuweka
laptop mapajani.Kwa faida ya afya zetu thechoice inawakumbusha kuepuka
kutumia laptop kwa mtindo huo na yakupasa kutumia mbinu mbadala ili
kuweza kulinda afya zetu.
MUUNGANO WAZIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA KUIBUA VIPAJI VYA MICHEZO
-
Wachezaji wa Timu ya Mpira wa Pete (Netiboli) ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Muungano na (Mazingira) wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya
kuwasil...
56 minutes ago


No comments:
Post a Comment