Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, March 24, 2013

HUYU ndo MSANII TOKA LEBO ya KENYA AILALAMIKIA SERIKALI YA TANZANIA



 
Ni msanii kutoka Arusha akifahamika kwa jina la Bee Man ambae kabla aliwahi kuimba track yake inayoitwa ''Embe Dodo'', ameilalamikia nchi ya Tanzania juu
ya kazi za wasanii kutumiwa vibaya kufaidisha wengine...
Bee Man ambae yuko chini ya Label ya Love Child kutoka Kenya ameandika kupitia ukurasa wake wa Facebook ameonekana kulalamikia serikali ya Tanzania zaidi juu ya kazi za wasanii kutumiwa na makampuni ya simu bila idhini ya wasanii wenyewe.
Soma ujumbe kamili alioandika msanii huyu hapa chini:

No comments:

Post a Comment