Hii
ni baada ya kitendo alichokifanya mwanadada huyu kwenye mahakama ya
akimu mkazi - Kisutu, jijini Dar es salaam juzi kwa kuweza kumtoa
msanii mwenzie "Kajala Masanja" aliyekuwa akikabiliwa na kesi
iliyomlazimu kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au faini ya
shilingi millioni 13 za kitanzania. Ndipo mwanadada huyu kujitolea kutoa
kiasi hicho cha pesa kwenye account yake na kuweza kumuokoa Kajala
dhidi ya huk
NBAA YAENDELEA KUTOA ELIMU YA TAALUMA YA UHASIBU KWA WANAFUNZI WA CHUO
KIKUU CHA MZUMBE
-
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imeendelea
kutoa elimu na mafunzo kwa vyuo vikuu pamoja na shule za sekondari ikiwa na ...
22 hours ago

No comments:
Post a Comment