Mwakilishi
wa Wabunge waliomaliza mafunzo maalumu ya muda mfupi ya Jeshi la
Kujenga Taifa(JKT)katika kambi ya RUVU Ester Bulaya akikabidhi risala
kwa niaba ya wenzake kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
leo mchana.Wabunge
waliomaliza mafunzo ya muda mfupi ya Jeshi la kujenga Taifa wakipita
kwa ukakamavu mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya MrisWabunge
waliomaliza mafunzo ya muda mfupi ya Jeshi la kujenga Taifa wakipita
kwa ukakamavu mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho kikwete
wakati wa gwaride maalumu la kumaliza mafunzo hayo huko kambi ya RUVU
leo.Wabunge walihudhuria mafunzo ya muda mfupi Ruvu JKT wakionesha walijifunza kwa vitendo.Amiri
Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga risasi hewani
kuashiria kuzundua mafunzo ya JKT kwa vijana katika kambi ya RUVU JKT
yatakayo itwa Operesheni Miaka Hamsini.Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Waziri wa
Ulinzi Mh.Vuai Shamsi Nahodha mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza
pamoja na viongozi wa JKT wakiwa katika picha ya pamoja na wabunge
waliomaliza mafunzo ya muda mfupi katika kambi ya JKT Ruvu.Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa ufugaji kuku katika kambi ya Ruvu JKT leo(picha na Freddy Maro).Rais Jakaya Kikwete akikagua mradi wa ufugaji kuku katika kambi ya Ruvu JKT leo(picha na Freddy Maro).
BARAZA LA WAFANYAKAZI OFISI YA MWANASHERIA MKUU LAKUTANA
-
• Mwanasheria Mkuu wa Serikali asisitiza kuendelea kusogeza huduma karibu
na Wananchi
Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali li...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment