PICHA ZA PAPA FRANCIS 1 AKIAPISHWA RASMI MJINI ROME.
Papa Francis 1 akiwahutubia waumini wa dini ya kikristo wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake katika nafasi hiyo.Akivalishwa peteAkimbeba mtoto
Akifurahia jambo. Papa akiwa katika gari aina ya Mercedes Benz G-Class SUV wakati akipita kwenye viunga vya Kanisa la Mtakatifu Petro mjini Roma. Umati mkubwa wa watu waliohudhuria tukio hilo leo. Rais wa Zimbabwe, Mzee Robert Mugabe pamoja na mkewe Grace nao walikuwepo.
WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI
-
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Balozi wa Japan nchini
Tanzania Mhe. Yoichi Mikami na kujadiliana naye masuala ya uchumi, miradi
ya maendel...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment