BEAUTIFUL
Onyinye, Wema Sepetu amefunguka kuwa anapenda kuvaa urembo wenye madini
ya almasi (diamond) kwani humpendeza kuliko madini mengine.
Wema Sepetu.
Akizungumza
na Stori 3, Wema alisema amekuwa akivaa madini mbalimbali ila tangu
alipoanza kuvaa ya ‘diamond’, watu wake wa karibu wamekuwa wakimsifia
kuwa anatoka chicha.
“Ukiniambia
nichague madini kati ya silver, gold na diamond mimi nitachagua diamond
kwani yananipendeza sana, bila kuyavaa nahisi sijapendeza,’’ alisema
Wema.
No comments:
Post a Comment