Wimbi
la ajali ambalo limeukumba mji wa Morogoro kwa siku zakaribuni jana
usiku ilitokea tena ajali ambazo zinaendelea kuangamiza maisha ya
wananchi wa morogoro na watanzania kwa ujumla.endelea kupitia
audifacejeckson blog Kwa Mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo Mwanamke mmoja
ambaye jina lake halikupatikana mara moja,anayekadiriwa kuwa na umri wa
kati ya miaka 18-20 amegongwa na Fusso na kupasuka kichwa eneo la
Kihonda barabara kuu ya Morogoro-Dodoma jana majira ya saa nne usiku.
Mwili wa marehemu ukiwa bado eneo la tukio jana usiku
Baada
ya kutokea tukio hilo wananchi walifunga barabara kwa kutanda katikati
ya barabara hiyo kwa lengo la kuzuia magari yasiendelee na safari mpaka
pale jeshi la polisi walipofika eneo latukio hilo.endelea kupitia audifacejeckson blog
Baada ya muda tulimshuhudia mama mzazi wa binti huyo akiangua kilio eneo la tukio baada ya kumtambua mtoto wake huyo ,
No comments:
Post a Comment