Kocha mkuu Jupp Heynckes akibebwa juu kwa juu baada ya furaha kutanda uwajani hapo
KLABU
ya Bayern Munich imetwaa taji lake la 23 la Bundesliga ikiwa imebakiza
mechi sita kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Eintracht Frankfurt.
Kwa wiki kadhaa lilikuwa suala
la lini Bayern watatangazwa rasmi kuwa mabingwa wapya, wakiivua taji
Borussia Dortmund na bao la Bastian Schweinsteiger dakika ya 53 limewapa
wageni ushindi waliouhitaji.
Ushindi huo, unaifanya Bayern
itimize pointi 75, 20 zaidi dhidi ya Borussia Dortmund walio katika
nafasi ya pili, ambao wameifunga Augsburg 4-2.
Franck Ribery akipotezea furaha zake za ubingwa kwenye megaphone
Wachezaji wa Bayern Munich wakifurahia ushindi huo wa kuongoza ligi hiyo
Wachezaji wa Bayern Munich wakifurahia..
No comments:
Post a Comment