WATU WA 3 WAMEFARIKI ARUSHA KWENYE MACHIMBO YA MORAM MAENEO YA MOSHONO BAADA YA KIFUSI KUANGUKA,MBUNGE WA ARUSHA AKIONGEA NA MTANDAO WETU AMETUAMBIA KWAMBA PIA KUNA GARI MBILI ZINAZOTUMIKA KUBEBEA MORAM ZIMEFUKIWA NA KIFUSI HICHO,JUHUDI ZA UOKOAJI ZINAENDELEA KWA SASA,NA INASADIKIWA KUNA WATU WENGI AMBAO BADO WAPO CHINI YA KIFUSI KIMEWAFUNIKA.ENDELEA KUWA NASI TUTAWALETEA TAARIFA ZAIDI.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
8 hours ago


No comments:
Post a Comment