Kamera yetu leo iliamua kupita uswazi kuangalia maisha ya watu wa uswazi.Hali ni mbaya maisha ya huko ni ya hatari,Mazingira sio sawa kwa maisha ya binadamu.waandishi walikuwa wakikatika uswazi kuangalia changamoto zinazowakabili wananchi wa uswahilini. |
Huyu nae akawa anawakilisha wananchi wa uswazi.Hata kama ni usafi lakini mazingira hayafai.audifacejackson blog |
blog |
blog |
blog |
blog |
No comments:
Post a Comment