MKUU WA KITUO CHA
POLISI ISAKA MR THOMAS KATIKATI YAKIWA NA VIONGOZI WALIOTEULIWA KUKUSANYA
RAMBIRAMBI WAKIPITIA MAJINA YA MICHANGO
KAHAMA
Askari
Polisi wa kitengo cha usalama Barabarani Salim Mtepa(41), ameuawa na
watu wanaodhaniwa kuwa majambazi kwenye kitongoji cha mhongolo wilaya
ya Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia leo.
Mkuu
wa jeshi la polisi wilayani humo George Simba ameiambia redio Kahama
fm kwamba marehemu Mtepa ameuawa, wakati akijaribu kuokoa mali
iliyokuwa imeibiwa na vibaka kutoka kwenye duka lililoko nyumbani
kwake.
Amefafanua
kwamba, saa 9.30 usiku vibaka walienda kuvunja kwenye duka la Mtepa
ambamo huwa inatunzwa pikipiki, na kwamba baada ya kuikosa walianza
kubeba mifuko ya sukari na mchele kabla ya Mtepa ya kutoka nje.
Simba
amesema, inadhaniwa kwamba, watu waliokuwa wamekuja Kahama kwa ajili
ya machimbo ya dhahabu ya mwime ndio wanaotangatanga jinsi ya kupata
nauli za kurudia kwao hadi kufanya uhalifu kama huo.
Amewaomba
watu wenye taarifa za wauaji hao watoe taarifa kwa siri polisi ili
waweze kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwani wanataka kuharibu sifa
ya Kahama yenye watu wanaopenda utulivu na amani.
Simba
amesisitiza wananchi wawe makini na watu wasiowaelewa vizuri kukaa nao
nyumbani kwani ndio wanaogeuka na kuanza kuhatarisha maisha ya
wananchi wasio na hatia.
Marehemu
Mtepa amefariki wakati anapatiwa matibabu Hospitali ya wilaya ya
Kahama na kwamba mwili wake umesafirishwa leo kwenda Dar-es-Salaam kwa
mazishi.
MDOGO WA MAREHE
KATIKATI AKIFARIJIWA NA NDUGU NA JAMAA
MKUU WA KITUO CHA
POLISI KAHAMA OCD GERGE SIMBA KULIA AKIWA NA MKUU WA KITUO CHA POLISI ISAKA MR
THOMAS AKIWA NA KIONGOZI WA KIISLAMU WAKIPITIA RATIBA YA KUUAGA MWILI WA
MAREHEMU,
KIONGOZI WA
KIISLAMU AKITOA MAELEKEZO YA KUUGA MWILI WA MAREHEMU.
SHEKHE MKUU WA
WILAYA YA KAHAM OMARY DAMKA AKITOA DUA YA KUUGA MWILI WA MAREHEMU.
WATU WAKIWA NA SURA
YA MAJONZI KATIKA MSIBA HUO.
VIONGOZI WA POLISI
WAKIWA KATIKA SURA ZA MAJONZI KATIKA MSIBA HUO.
MKUU WA KITUO CHA
POLISI ISAKA MR.THOMAS AKITOA WOSIA KWA WATU WALIOHUDHURIA MSIBA HUO.
HALI YA TAFRANI
ILITOKEA KATIKA MSIBA HUO BAADA YA NYOKA KUIBUKA KATIKATI YA UMATI WA WATU NA
HATIMAYE KULIWA.
MKUU WA KITUO CHA
POLISI KAHAMA OCD GEORGE SIMBA AKISOMA HISTORIA YA MAREHEMU
KINA MAMA WAKIWA
KATIKA SURA ZA MAJONZI
MKUU WA WILAYA YA
KAHAMA MH BENSON MPESYA AKIWASILI KATIKA MSIBA HUO.
KIONGOZI WA UMOJA
WA WAENDESHA PIKIPIKI IDDY SAM MAPANDE AKITOA NENO KWA NIABA YA MADREVA BODABODA
WA WILAYA YA KAHAMA.
IDDY SAM MAPANDE
AKITOA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA KITUO CHA POLISI KAHAM OCD GEORGE SIMBA.
MAJONZI NA
SIMANZI.
MKUU WA WILAYA YA
KAHAMA BENSON MPESYA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WALIOHUDHURIA KATIKA MSIBA
HUO.
MASHEHE WA WILAYA
YA KAHAMA WAKIWA KATIKA MSIBA HUO.
MWANANZENGO
AKIZUNGUMAZA KWA NIABA YA WANANCHI WA KIJIJI HICHO.
KAMANDA THOMAS
AKISOMA MAJINA NA KUTOA SHUKRANI KWA WATU WALIOCHANGIA MSIBA HUO.
KAIMU KAMANDA MKUU
WA MKOA WA SHINYANGA ONESMO LYANGA AKISALIMIANA NA MKUU WA WILAYA YA KAHAMA MUDA
MCHACHE BAADA YA KUWASILI KATIKA MSIBA HUO.
OCD SIMBA KULIA
AKIMKARIBISHA KAIMU KAMANDA MKUU WA MKOA ONESMO LYANGA KUZUNGUMZA NA
WANANCHI.
KAIMU KAMANDA WA
POLISI MKOA WA SHINYANGA ONESMO LYANGA AKIZUNGUMZA NA WANACHI WALIOHUDHURIA
KATIKA MSIBA HUO HUKU AKIHAIDI KUWATIA MBARONI WALIOHUSIKA NA TUKIO HILO.
KINA MAMA WAKIWA
KATIKA MSIBA HUO.
SHEHE AKIOMBA DUA
YA KUMUOMBEA MAREHEMU.
WATU WAKIWA KATIKA
DUA YA MWISHO YA KUUOMBEA MWILI WA MAREHEMU.
MAMA WA MAREHEMU
SALIM AKIWA ANATOKA NDANI KWENDA KUANDA GARI KUELEKEA JIJINI DAR ES SALAAM
SAFARI YA KWENDA
JIJINI DAR ES SALAAM
MAJIRANI
WALIOTEULIWA KUMSINDIKIZA MKE WA MAREHEMU WAKIELEKEA KUPANDA GARI.
DADA WA MAREHEMU
AKIWA HOI KWA KILIO AKIAIDIWA KWENDA KUPANDA GARI
ASKARI WA KIKOSI
CHA ZIMA MOTO WAKIWA KATIKAMSIBA HUO
MWILI WA MAREHEMU
UKITOLEWA NDANI TAYARI KWA SAFARI YA KUUELEKEA DAR ES SALAAM.
WANANCHI
WAKISAIDIZANA KUBEBA JENEZA KUPELEKA KWENYE GARI.
MWILI WA MAREHEMU
AKIPELEKWA KWENYEGARI.
GARI IKIWA TAYARI
KUPAKIA MWILI WA MAREHEMU.
WANANCHI WAKIWA
NJEE KUUAGA NA KUUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU.
UMATI WA WATU
WALIOKUWEPO KATIKA MSIBA HUO.
MOJA YA GARI
ILIYOTOLEWA NA NDUGU NA MARAFIKI KWA AJILI YA KWENDA DSM.
MKE WA MAREHEMU
AKILETWA KWENYE GARI.
MKE WA MAREHEMU
ALIYEJIFUNIKA NGUO ZA BLUE AKIJIANDAA KUPANDA KWENYE GARI.
SAFARI IKIANZA
KUELEKEA JIJINI DAR ES SALAAM
ASKARI POLISI WA
KAHAMA WAKIWA KATIKA GARI KUUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU.
SAFARI YA
DSM
GARI ILOBEBA MWILI
WA MAREHEMU IKIANZA SAFARI YA KUELEKEA DAR ES SALAM
MADREVA BODA BODA
WAKIONGOZA MSAFARA KUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU.
KB BLOG
No comments:
Post a Comment